Mali ya dhamana isiyojulikana iliteketea katika kiwanda cha kusiaga miwa cha Mumias baada ya taka ya mabaki ya miwa iliyosagwa(bagasse) kushika moto mwendo wa saa nane mchana jana Jumatano.

Kulingana na kaimu meneja wa kiwanda hicho Francis Wabuke amehoji kuwa walipata usaidizi wa gari la kuzima moto kutoka kwa serikali ya kaunti ya Kakamega na kudhibiti moto huo.

Wabuke ameongeza kuwa polisi wangali wanachunguza chanzo cha moto huo.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE