Kizaa zaa kimeshuhudiwa hii Leo baina ya polisi na raia kwenye uwanja wa malinya kwenye eneobunge la ikolomani kaunti ya kakamega baada ya polisi kuwazuia wenyeji kuandaa pigano la fahali,.

Ni tukio ambalo polisi wamejipata pabaya wenyeji wakiwashambulia Kwa mawe huku vioo vya magari ya polisi vikivunjwa.

Fahali,””Mbape kutoka malinya alifaa kumenyana na “Meja” hii Leo ugani malinya lakini pigano hilo halijaandaliwa polisi wakitumia vitoa machozi kutawanya wenyeji bila mafanikio ikiwalazimu polisi kuondoka.

Story by Kennedy Babangida

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE