Mbwembwe zilishamiri katika baadhi ya shule kaunti ya Kakamega baada ya matokeo ya KCPE kutangazwa huku shule ya msingi ya Sister Karoli eneo la Ileho Shinyalu ikijivunia kutoa mwanafunzi bora nchini katika somo la kiswahili

Mkuu wa shule hiyo Joy Ogai amesema wanafunzi wawili wa kwanza walipata alama mia nne kumi na mbili Dorothy Kahoya na Praise Ilusa huku mwanafunzi wa chini akipata alama mia mbili tisaini na tano

Kwa upande wao wanafunzi bora na wazazi wao walielezea kuridhika kwao na matokeo bora

By Richard Milimu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE