Shule zimefunguluwa katika maeneo mbalimbali kaunti ya Laikipia. kaunti hiyo ilikua imekubwa na ghasia za kiuhalifu.
Maafisa wa usalama wameongezwa katika maeneo hayo ili kuboresha usalama na kukabiliana na majambazi ambao wamekua wakiwahangaisha wakaazi.
Polisi wametumwa katika shule ili kuwalinda wanafunzi kutokana na Shambulizi.
By Imelda Lihavi