Siasa za urithi ziliendelezwa kwenye hafla za mazishi maeneo kadhaa nchini huku wanasiasa wakikabiliana kwa maneno
Mwaniaji wa kiti cha uwakilishiwadi ya Malaha Isongo Makunga Stephen Makokha wa chama cha ANC alichukua fursa hiyo kumpigia debe mwanasiasa David Wamatsi na kuwatahadharisha dhidi ya kumcha tena mbunge wa sasa Ben Washiali
Akimjibu mwanasiasa Gabriel Omusebe alimtetea Washiali akiwataka wakaazi kumchagua mtu wala si chama
Omusebe ambaye ni mmojawapo wa wasaidizi wa mweshimiwa Washiali alimtaja Makokha kama aliyekosa mwelekeo wa kisiasa
By James Nadwa