Coronavirus COVID-19 single dose small vials and multi dose in scientist hands concept. Research for new novel corona virus immunization drug.

Muungano wa umoja wa ulaya umefikia maafikiano kuagiza dozi zaidi ya chanjo hii ili kuongeza maradufu kiasi cha chanjo wanayomiliki. Mwenyekiti wa tume ya ulaya Ursula Von der leyen ijumaa ameelezea kuwa wamenunua dozi milioni tatu zaidi ya dozi zingine milioni tatu walizokua nazo tayari.

Chanjo hii inayozinduliwa na muungano baina ya marekani na ujerumani ni kati ya chanjo mbili tu kuidhinishwa kwa matumizi katika umoja wa ulaya na pia ya kwanza kutumiwa kuendesha chanjo iliyoanza mwishoni mwa mwezi Desemba.

Tume ya ulaya leo imependekezea nchi ambazo ni wanachama wa umoja wa ulaya kuongezea dozi milioni mia mbili na kuongezea milioni mia moja zaidi.Tume hii pia imeidhinisha dozi kutoka shirika la Moderna Marekani.Pamoja na nchi zilizo chini yake,tume hii ya muungano wa ulaya imepokea ukosoaji kwa kuchelewesha kampeni ya kuwachanja wananchi takribani million 450 walioko Ulaya.

story by Lavine Wanzetse

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE