Mwakilishi wa kina mama kaunti ya Busia bi Florence Mutua amewataka vijana na kina mama kujiunga kwenye makundi na kupata mikopo kama njia pekee ya kujiinua kiuchumi

Mutua aidha amesema kuwa wananuiya kujenga afisi itakayo shugulikia vijana na kina mama akiwataka kujitokeza na kuwania nafasi za uongozi 

Kauli hiyo iliungwa mkono na gavana wa Busia Sospeter Ojamong amabaye kwa upande wake aliwataka wakaazi kufwata masharti ya wizara ya afya ili kuepuka virusi vya corona

By Imelda Lihavi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE