Kudorora kwa kiwanda cha sukari cha Mumias kumekuwa chanzo cha masahibu yanayowakumba vijana eneo hili

Mfanyibiashara kutoka kaunti ya Vihiga Billy Nyonje ameitaka serikali kuharakisha juhudi za kukifufua kiwanda hicho

Nyonje amewataka vijana kujihusisha na miradi ya maendeleo na kukoma kuwategemea viongozi wa kisiasa

Kauli iyoungwa mkono na naibu gavana wa Vihiga Patrick Saisi aliyewataka kutokubali kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu kwenye mikutano ya kisiasa

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE