Shirikishi wa chama cha KANU kaunti ya Kakamega Sleiman Sumba amewarai vyongozi kuhubiri amani miezi kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Sumba amesema kuwa yafaa vyongozi haswa wanasiasa kutumia semi za kuleta amani miongoni mwa wakenya
Amesifia hatua ambazo chama cha KANU kimepiga akionyesha imani na chama hicho kutwaa uongozi wa nchi hii baada ya uchaguzi mwakani
Kiongozi huyo amewataka wakaazi wakenya kujitokeza na kupokea chanjo dhidi ya virusi vya corona ili kudhibiti msambao wa ugonjwa huo
By James Nadwa