Mbunge wa eneo la Kapseret Oscar Sudi katika kaunti ya Uasin Gishu amewashauri wakazi wa eneo hili kuendelea na biashara bali wasije wakajihusisha na ukabila.

Akihutubia wanahabari amewahimiza wananchi wanapo karibia uchaguzi wa mdogo wa  viongozi wawakilishi wa wadi wakuwe makini wanapochagua kiongozi hasa kulingana na uwezo wala si ukabila.

Vile vile mbunge wa eneo la Kerio Kusini Daniel Rono amekashifu mawakilishi wa wodi waliohudhuria mkutano ulikuwa sagana kwa kutumia njia ya utapeli ili wapitishe mchakato wa BBI kwa wananchi.

Story by Sharon Lukorito

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE