Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya amewahimiza wakazi kuzingatia masharti ya Rais Uhuru Kenyatta kuhusu kuthibiti msambao wa virusi vya corona

Akiongea kwenye ufunguzi wa kanisa la Lukala West Church of God Ingotse Mission eneo la Malava Oparanya amesema madhara ya corona ni makali na amewahimiza wakazi kutopotoshwa na wajitokeze kupokea chanjo

Askofu mkuu wa kanisa hilo la Church of God misheni ya Ingotse Ernest Kitayi amewataka maafisa wa usalama kutowahangaisha viongozi wa makanisa kwa sababu ya kufuata masharti na kuhimiza ushirikiano katika kutekeleza masharti ya corona

Askofu Kitayi vile vile amewahimiza wakazi kijitokeza kupokea chanjo huku akihiiza serikali kuona kwamba wananchi wanasaidiwa kupata vifaa vya kukabili corona zikiwemo barakoa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE