Wakulima wa zao la miwa katika maeneo ya Mutaho wadi ya Idakho Kaskazini eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega, wanaitisha usaidizi kutokana na zao hilo maeneo hayo.
Akiongea kwa niaba ya wakulima wenzake, George Masheti anasema kwamba imekuwa vigumu kwao kufwatana na zao la miwa kuonekana kugwama shambani bila usaidizi.
Hata hivyo anasema ni baada ya wao kuonelea vyema kubadili zao la mahindi na kuanza kupanda miwa wakifikiri watapata faida.
Story by Wickliffe Sajida