Mwenyekiti wa  umbrella ya lubaofm Nelson Andanje amewahimiza wanachama kuzidi kushirikiana Kwa pamoja Kwa matoleo Kwa ajili yakusimama na wale ambao wamepoteza wapendwa wao .

Andanje amesema haya kwenye mazishi ya Zipporah Mukoshi mamake Ethna Malala ambaye ni mwanachama wa kikundi cha Tujijenge kilicho Chini ya umbrella ya Lubaofm eneo la Mumbetsa eneo Bunge la Ikolomani .

Viongozi wa chama cha Tujijenge nao pia wameonyesha furaha Yao haswa Kwa ushirikiano Bora unaozidi kuahIdiwa kwenye umbrella.

Bali na hayo , Wycliffe Kisienya, msimamizi wa kata ya Lwandeti na Chekalini amewataka wenyeji wa Mumbetsa kushabikia chuo cha ufundi cha Mumbetsa ili waweze kupata  utaalam wa kiufundi .

Story By Kennedy Babangida

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE