Viongozi wa makanisa katika wadi ya Butsotso Mashariki wamehimizwa kushirikiana na makundi ya kijamii kuona kwamba vijana ambao wako makanisani wanapata usaidizi na kuendeleza elimu yao

Ni usemi wake mchungaji Prichard Atswenje wa kanisa la Ebung’aya Baptist alipoungana na wanajamii kwa mchango wa kumasaidia Benard Ingutia kujiunga na chuo cha utabibu cha Kisii KMTC chini ya mradi wa jisimamie elimu initiative 

“Nasema ni asante kwa   wote wamefika kwa kusaidia kwa mchango wa kufanikisha masomo na tunaunga mkono kikundi hiki mkono na wale mjajiunga mkuje mjiunge.” Alisema

 Ni umoja ambao umehimizwa na wale ambao wamenufaika na usaidizi ambao wamewahimiza wengine kujitokeza na kuungana kufanikisha elimu

Story by Boaz Shitemi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE