Kiongozi wa wachungaji kaunti ya Kakamega askofu Patrick Shinali amewataka wanasiasa kuhubiri amani joto la kisiasa linaposhuhudiwa nchi
Akirejelea mzozo kati ya rais na naibu wake Shinali amewataka wanasiasa kuwa msitari wa mbele kwa kuwaleta wawili hao pamoja
Shinali aidha mewataka vyongozi wa kidini kuto salia nyuma katika juhudi za kutafuta uwiano kati ya wawili hao
By James Nadwa