Huku mtihani wa kidato cha nne ukielekea kutia kikomo, Baadhi ya waliokua watahiniwa wana hamu ya kutabasamu wengi wakiwa na matarajio makubwa yakupata matokeo yakuridhisha

Mtihani huo wa kidato cha nne ulingoa nanga kirasmi  mnamo tarehe 25 machi na unatarajiwa kukamilika keshokutwa tarehe 21 aprili mwaka wa 2021.

Baadhi ya wanafunzi tuliozungumza nao wanasema kuwa wako tayari kukaa vyema mtaani huku wakingonjea matokeo yao.

Wazazi wana jukumu la kuwalinda wanao hasa ikizingatiwa kuwa watoto hao hupata maelekezo ya wazazi jinsi mwanafunzi mmoja anavyoharifu.

By Austine Shambetsa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE