Nambari ya vifo vinavyohusiana na janga la corona vimeshuka tangu kuwepo kwa chanjo ya homa ya corona .
Mkurugenzi generali wa WHO Tedros edros Adhiambo Ghebreyesus amewataka watengenezaji wa chanjo ya corona kupeana nusu ya dosi zao nchini Covax. mradi wa kusambaza chanjo hii bila mapendeleo ni njia moja wapo ya kusukuma mpamgo wa kuhakikisha kuwa asilimia thelathini ulimwengu mzima inafaidika na mradi huu ifikiapo mwezi wa decemba tarehe thelathini na moja mwaka huu.
“kusambaza chanjo kwa sasa ni mojawapo ya njia za kumaliza mlipuko huu mpya wa janga hili.” aliwaambia maripota jumatatu.”lakini pia ni dhahiri kuwa katika dharura , nchi ambazo zina mapato duni haziwezi kabisa kusafirisha chanjo hizi kutoka kwa nchi zilizoendelea.”
Wakati ambapo idadi ya vifo imeongezeka kwa nchi zilizoendelea,ilipanda pia wiki lililopita africa,marekani na pia magharibi ya pacific, Tedros alisema.
zaidi ya dosi billioni mbili ya chanjo ya corona zimepeanwa dunia nzima. zaidi ya chanjo hizi zimepeanwa kusini mwa marekani na europa na pia katika mataifa ya kipato cha kiwango cha wastaani kama vile china, india, na bravil .
By Mary Owano