Watu kumi na mbili walikamatwa Jumatatu usiku kwa kukiuka amri za kutotoka nje katika maeneo ya Isebania na Kehancha huko Kuria Magharibi,kaunti  ya Migori.

Kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Kuria Magharibi Cleti Kimaiyo alisema walikamatwa watu tisa katika eneo la Mali-ngumu ndani ya mji wa Isebania na kuongeza kuwa watu wengine watatu walikamatwa katika mji wa Kehancha.

Kiongozi huyo wa polisi alisema wale 12 wamepandishwa kizimbani Jumanne.Alisema polisi wataendelea na onyo kali la umma dhidi ya kupuuza kanuni.

Meanwhile, a report from the Migori county commissioner’s office indicated that at least 100 people are apprehended in Migori County every day for contravening the curfew orders.

Wakati huo huo,ripoti kutoka kwa afisi ya kamishna wa kaunti ya Migori ilionyesha kuwa watu wasiopungua 100 wanashikiliwa katika kaunti ya Migori kila siku kwa kukiuka amri za kutotoka nje.

By Marseline Musweda

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE