Wavuvi katika ziwa Victoria Kaunti ya BUSIA wamevisuta vikali vikosi vya Coast Guard na Kenya Maritime Authority kwa madai ya kuwanyanyasa.

Wakiongozwa na Mwenyekiti Wa fuo za ziwa Victoria Sylvester Kaywa, wamevitaka vikosi hiyo kusitisha mara moja zoezi LA kuwatia mbaroni wavuvi kwa makosa madogo madogo na badala yake watafute kuwepo mazungumzo kumaliza utata unaowakumba wavuvi.

Wakizungumza katika ufuo Wa marenga eneo bunge la Budalang’i, wavuvi Hao wanavilaumu vikosi vya Kenya Maritime Authority na Coast guard kwa kutumia nguvu zaidi dhidj yao.

“kwa nini wawezi tuacha tufanye kazi. Tunateswa sana na tunashanga nai ni nani wa kutuongoza katika hii kazi ya uvuvi kama wanashida na sisi kama uvuvi waite public participation. Walisema wavuvi katika ziwa Victoria “

Story by Hillary Karungani

sadmin

By sadmin

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE