Lubao FM | 102.2 Hz

  • http://41.90.240.222:88/broadwave.mp3?src=1&rate=1&ref=
  • Streaming Live

Wazazi eneo la Mumias Mashariki kukosa ufahamu wa mtaala mpya wa elimu

Wengi wa wazazi eneobunge la Mumias Mashariki hawana ufahamu wa kutosha kuhusu mtaala mpya wa elimu wa CBC

Baadhi ya wale tulozungumza nao  wanadai kukanganywa na mfumo huo 

Wazazi hao aidha wanashangaa kutokana na idadi ya juu ya mahitaji ya mfumo huo ikiwemo wingi wa vitabu pamoja na vifaa vingine vya masomo

Naye mojawapo wa wasomi kutoka kaunti ya Bungoma ameusifia mtaala huo akidai kiwa ndiyo unaofaa kwa sasa

By James Nadwa

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *