Zoezi la kuhamasisha jamii kuhusu virusi vya korona katika kaunti zote 47 limezinduliwa rasmi na naibu kaunti kamishina kutoka eneo bunge la Turbo Mohammed Mwabudzo katika kaunti ya Uasin Gishu.

Mohammed Mwabudzo amesema kuwa zoezi Hilo litaweza kuelimisha jamii ili waweze kuendelea kufuata kanuni zilizowekwa na wizara ya afya, hata hivyo idadi ya walioambukiza na virusi vya korona kaunti ya Uasin Gishu hapo Jana iliongezeka na takriban aslimia 26.

Vile vile zoezi Hilo litachukua siku tano ili kuhamasisha jamii swala la korona.

By Sharon Lukorito

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE