Mbunge wa Navakholo ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya kilimo Bungeni Emmanuel Wangwe amemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuona kuwa ripoti iliyotolewa na Japo la sukari inaanza kufanya kazi. Akiwahutubia wenyeji wa Navakholo Wangwe amedokeza kuwa wakulima wengi wa miwa wanapata hasara kubwa Kwa kushindwa kuuza mazao yao na kumtaka Rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati...
Mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya wavulana ya Burangasi katika eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamenga anazuiliwa katika kituo cha polisi eneo hilo kwa madai ya kuteketeza bweni la shule hiyo. Kulingana na kamanda wa polisi eneo hilo la Navakholo, Richard Omanga, mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 19,...
Washukiwa wanne wa wizi wa kimabavu wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kabras baada ya kukamatwa na maafisa wa polisi wakiwa na vifaa vingi vya elektroniki vinavyodaiwa kupotea sehemu nyingi za eneo la Malava. Akizungumza na wanahabari mjini Malava kamanda wa polisi eneo la Kabras Peter Mwanzo amedokeza kuwa washukiwa hao ni miongoni mwa genge...
Kizahazaha kimeshuhudiwa katika soko la Malava lililoko eneo bunge hilo Kaunti ya Kakamega baada ya msichana mwenye umri wa miaka 19 kwa majina Anjelina Alima kupatikana akitaka kumgawa mwanawe mchanga mwenye umri wa miezi 4. Kulingana na mwanaharakati wa haki za watoto eneobunge la Malava Kenedy Shikuku amehoji kuwa msichana huyo alipachikwa mimba na kijana...
Serikali ya kaunti ya Kakamega imetakiwa kutoa idadi kamili ya walemavu ambao wamedhulumiwa kijinzia ili wadau wanaoshugulikia haki za walemavu nchini wachukuwe hatua ya kuhakikisha kuwa visa hivyo vinapungua. Ni kauli iliyotolewa na mwenyekiti wa walemavu katika kaunti ya Kakamega Lucy Mulombi baada ya mafunzo yalioandaliwa mjini Malava ambaye amehoji kuwa visa hivyo vimeongezeka kutokana...
Aliyekuwa mbunge wa Teso Kusini Mary Emase amewataka magavana nchini kufanya mazungumzo na madaktari na wahudumu wa afya wanaogoma ili warejee kazini. Akihutubu kwenye hafla moja katika eneo la Segero kaunti ndogo ya Teso Kusini Kaunti ya Busia, Emase amasikitika kuwa wananchi wengi ambao hawana uwezo wa kupata huduma za matibabu katika hospitali za kibinafsi...
Covid-19: 129 new infections in the last 24 hours, no deaths
https://www.standardmedia.co.ke/health/article/2001401084/covid-19-129-new-infections-in-the-last-24-hours-no-deaths
Former Pres. Trump made the federal courts whiter and more conservative—and that will be tough for Pres. Biden to reverse. https://abcn.ws/35ZVs5D