FILE PHOTO: A woman holds a small bottle labelled with a "Coronavirus COVID-19 Vaccine" sticker and a medical syringe in this illustration taken October 30, 2020. REUTERS/Dado Ruvic

Wafanyibiashara kutoka maeneo mbali mbali wameombwa kukumbatia zoezi la chanjo kama njia mojawapo ya kujikinga na  kudhibiti msambao wa ugojwa wa covid 19

Akizungumuza moja kwa moja na kituo hiki Sammy Mmoja amewahimiza wafanyibiashara wenza kuendea chanjo hiyo muhimu

Mimi nawahimiza wafanyibiashara wenzangu tuende tupate chanjo hii ya corona. Haichukui muda mrefu. Msifate propaganda za watu kuhusiana na chanjo hii ya corona. Mimi binafsi nimedungwa na sijakua na madhara yoyote

Vile vile amezungumzia kufifia kwa biashara na kuwahimiza wateja kutembelea banda lake kwa minajili ya kupata bidhaa zote za urembo ambazo wanazihitaji kwa bei nafuu

By Samson Nyongesa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE