Naibu wa chifu kata ndogo ya Kakunga,kata ya Malava, kaunti ya Kakamega Jackston Ambulwa ameelezea maoni yake kutokana na pendekezo la waziri wa elimu George Magoha kuwa walimu wakuu wa shule za sekondari pamoja na za msingi kutowatuma wanafunzi nyumbani kwa ajili ya ukosefu wa karo
Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa sheria zilizowekwa kudhibiti msambao wa virusi vya corona zimesababisha hali ya uchumi kudorora
By Mary Owano