LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Mama kupoteza maisha yake akijifungua kaunti ya Kakamega

Mama kupoteza maisha yake akijifungua kaunti ya Kakamega

Familia moja katika kijiji cha Wetai inamrai gavana Wycliffe Oparanya kuingilia kati na kufuta deni la shilingi elfu mia mbili baada ya mama kupoteza maisha kwa uzazi katika hospital kuu ya Kakamega Alex Abwenje anasema…

Read More
Viongozi Wakashifu Mauaji Ya Mabawabu Kivaywa

Viongozi Wakashifu Mauaji Ya Mabawabu Kivaywa

Viongozi mbalimali kautoka kaunti ya Kakamega wameendelea kukashfu mauwaji yaliyotekelezwa katika shule ya upili ya wavulana ya Kivaywa ambayo yalipelekea mabawabu wanne kupoteza maisha yao. Wa hivi ni naibu gavana wa Kaunti ya Kakamega prof.Philip…

Read More
Mauti shule ya upili ya wavulana ya Kivaywa

Mauti shule ya upili ya wavulana ya Kivaywa

Hali ya huzuni imetanda katika shule ya upili ya wavulana ya Kivaywa iliyoko eneo bunge la Lugari kaunti ya Kakamega baada ya mabawabu wanne kuuawa na genge la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. Kulingana…

Read More
Masinde Muliro University kupanda miche ya miti kwa ushirikiano na serikali kuu

Masinde Muliro University kupanda miche ya miti kwa ushirikiano na serikali kuu

Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro mjini Kakamega kwa ushirikiano na serikali kuu kupitia afisi ya kamishna wa kaunti ya Kakamega Pauline Dola kimeshiriki hii leo upanzi wa miche katika vituo mbalimbali…

Read More
Siasa katika kiwanda cha Sukari Cha Mumias

Siasa katika kiwanda cha Sukari Cha Mumias

Wito umezidi kutolewa kwa viongozi wa kisiasa nchini kuondoa siasa kwenye safari ya kufufua kiwanda cha kusaga sukari cha Mumias Ni kauli yake mwaniaji wa kiti cha ubunge eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega…

Read More
Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland  anapania kujiunga na Chelsea

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland anapania kujiunga na Chelsea

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland mwenye umri wa miaka 20, anapania kujiunga na Chelsea na yuko tayari kusubiri kwa mwaka mmoja kuhamia Stamford Bridge Hayo yakijiri Mshambulizi wa Liverpool na Japan…

Read More
Wakulima eneo la Mumias Wapongeza mchakato wa kwenye bunge la seneti

Wakulima eneo la Mumias Wapongeza mchakato wa kwenye bunge la seneti

Uamzi wa kamati ya kilimo katika bunge la seneti wa kumtaka meneja mrasimu wa kampuni ya sukari ya Mumias kuweka wazi mchakato wa kukabidhi kiwanda hicho kwa mwekezaji wa kibinafsi umepongezwa na wakulima wa miwa…

Read More
Viongozi wa makanisa mjini Kakamega kwa rais Uhuru Mahakama

Viongozi wa makanisa mjini Kakamega kwa rais Uhuru Mahakama

Viongozi wa makanisa mjini Kakamega wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kuachia mahakama Uhuru wa kutekeleza kazi yake bila kushurutishwa Wakiongozwa na Apostle Charles Omuroka wa Logos Celebration International Ministries Amalemba wanamtaka rais kuzingatia ushauri wa kidini…

Read More
Makadirio ya Bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2021/2022

Makadirio ya Bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2021/2022

Makadirio ya bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2021/2022 yanayotarajiwa kuwasilishwa bungeni hapo kesho na waziri wa fedha Ukur Yatani yanasemekana huenda hayatakuwa ya afueni kwa wakenya, hasa mkenya wa kawaida. Aliyekuwa wakati mmoja waziri…

Read More
Ziara ya  Msitu wa Kakamega

Ziara ya Msitu wa Kakamega

Leo ikiwa ni tarehe kumi mwezi wa sita  mwaka wa eifu mbili ishirini na moja, wanahabari wa lubao walienda kuzuru msitu wa Kakamega. njiani, tuliliona Kanisa la Kikatoliki la Lubao na pia kuona Gereza la…

Read More