Naiburais William Samoei Ruto kwa mara nyingine  amepuuliza mbali juhudi zinazofanywa na rais kuwaleta  pamoja waliokuwa vyongozi wa NASA

Akizungumza leo hii kwenye hafla moja ya ibaada jijini Nairobi Ruto ameitaja muungano hiyo kama ya kukabili na isiyo na ajenda kwa mkenya wa kawaida

Haya yanajiri siku chache tu baada ya mkutano ulofanyika ikulu ya Mombasa ambao tetesi zinasema kuwa vyongozi hao waliokosa kuafikiana kuhusu kumuunga mkono raila odinga

Kwa upande wao washirika wa naiburais wakiongozwa na mbunge wa Lang’ata Nickson Korir na Kimani Ichungwa walimtaka rais kuendeleza ajenda yake ya kuwafaa wananchi wa tabaka la chini 

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE