Kuzinduliwa kwa kiwanda cha samaki kaunti ya Kakamega kunanuiya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana kaunti hiyo
Msemaji wa seeikali ya kaunti ya Kakamega kuhusu uongozi Ali Chibole amesema kuwa mamia ya vijana watapata nafasi za ajira
Amesema kuwa hii ni mojawapo ya inaonyesha kujitokeza kwa kaunti ya Kakamega kuekeza kwenye sekta ya kilimo
Chibole hata hivyo amekiri kudorora kwa viwango vya masomo haswa kwa shule za upili kaunti hio akiitaja uhamisho wa walimu kama mojawapo wa visababishi
Haya yanajiri huku shule maarufu kaunti hii zikiwemo ya Kakamega, St Marys Girls, Lubinu, Ingotse na hata ya wavulana ya Musingu zikikosa kutamba kwenye matokeo ya mtihani ilopita ikilinganishea na za kaunti jirani
Hata hivyo ametia changamoto kwa wakaazi dhidi ya kumchagua gavana atakayeridhi Oparanya baada ya kuramatika kwa kipindi chake akiwataka kumteuea kiongozi mwenye Ataajibikia sawia na Oparanya
By James Nadwa