Mbunge katika bunge la kaunti ya Vihiga Beatrice Adagala ameitaka serikali kuekeza pakubwa kwenye michezo kama njia mojawapo ya kukuza vipaji miongoni mwa vijana
Adagala amesema kuwa hili litawawezesha vijana kujihusisha na spoti hivyo kutumia vema muda wao
Mwakilishi huyo wa kina mama kaunti ya Vihiga amesikitikia makaribisho hafifu yalofanyiwa wanaspoti walowakilisha kwenye michezo ya Olimpiki ilopita kule Tokyo Japan akilitaka bunge kupitisha sheria zitakazowatambua wanaspoti hata baada ya kusrltaafu
By James Nadwa