Kampeni dhidi ya mimba za mapema miongoni mwa watoto wa kike ziliendelezwa kwenye mitaa ya mji wa kakamega kaunti ya kakamega huku onyo kali ikitolewa kwa wahusika
Maafisa wa polisi wanasheria pamoja na wadahu kutoka mashirika mbalimbali ya kijamii wamehimiza wazazi kumakinika na malezi ya watoto wao kama njia mojawapo ya kukabili visa hivyo
Aidha wameilaumu sekta ya bodaboda kwa kuchangia uovu huo wakiapa kuchukua hatua zinazofaa kumlinda mtoto wa kike
Wamevitaka vitengo vya sheria kuhakikisha kuwa sheria inafwatwa wanaposhugulikia visa hivyo
By Imelda Lihavi