Hatua ya bunge kukosa kuidhinisha sheria ya kudhibiti fedha zitakazotumika kwenye kampeni ni njia mojawapo ya kupalilia uovu huo

Kwenye taarifa ya pamoja mashirika mbalimbali ya kijamii yakiwemo Elog, Mzalendo na Center for Multiparty Democracy yamekashifu hulka hiyo ya wabunge yakiitaja kama inayoruhusu wizi wa pesa mkenya mlipaushuru

Mashirika hayo yamesema kuwa wabunge hawana nia njema kwenye vita dhidi ya ufisadi 

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE