Akizungumza kwenye kituo kimoja cha habari humu nnchini jumanne usiku,mwenyekiti wa wanasheria Nelson Havi amesema IEBC inalazimika kuendelea na mipango ya uchaguzi mdogo itakayofanyika machi,Nairobi.Alichangia kuwa kutokuwa na naibu gavana ofisini wakati aliyekuwa gavana Sonko…
Read MoreChama cha Ford Kenya na kile cha ANC vitashirikiana kwenye chaguzi ndogo za Kabuchai kaunti ya Bungoma na Matungu kaunti ya Kakamega. Akizungumza alipoandamana na mgombezi wa chama cha Ford Kenya kwenye uchaguzi mdogo wa…
Read MoreHatimaye wagombeaji 15 akiwemo mama mmoja wameidhinishwa rasmi kugombea kiti cha ubunge cha Matungu kwenye uchaguzi mdogo wa tarehe nne mwesi Machi. Wa mwisho kuidhinishwa ni aliyekuwa mbunge wa zamani David Were wa chama cha…
Read MoreShughuli za uchukuzi zimetatizika kwa muda kwenye barabara ya Muyayi kuelekea Ndengelwa katika wadi ya Bukembe Magharibi kaunti ya Bungoma baada ya wahudumu wa bodaboda wakishirikiana na wakazi kuandaa maandamano na hata kupanda migomba ya…
Read MoreViongozi wa chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT tawi la Busia wameelezea matumaini ya kuimarisha chama hicho kwa kufanya majadiliano na Tume ya huduma za walimu TSC baada ya kukamilisha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika…
Read MoreMadereva wa taxi mjini eldoret wametoa malalamishi kwa serikali ya kaunti kwa kuwafurusha mahali pa biashara na kisha kuchukua magari yao. Madereva hao wamepata magari yao yamechukuliwa licha ya kulipa kodi ya elfu mbili na…
Read MoreTodays fixtures will pit Mathare United currently ranked 18th on log against Zoo Kericho that is curently placed 17th on log. Both teams will target first win at Kasarani annex since Mathare United has 2…
Read MoreWakulima wa kahawa kutoka eneo la magharibi mwa Kenya wamehofia kuwa huenda wakakosa kupokea mgao wa fedha wa shilingi bilioni tatu zilizotolewa na serikali ya taifa ili kusaidia kuboresha kilimo hicho. Afisa mkuu mtendaji wa…
Read MoreWito umetolewa kwa wazazi humu nchini kuwa karibu na wanao kwa kuwapa ushauri nasaha kama njia mojawapo itakayosaidia kurejesha nidhamu miongoni mwao. Akihutubu kwenye hafla ya mazishi ya Godwin Barasa eneo la Muyekhe eneobunge la…
Read MoreMwanafunzi wa kidato Cha tatu shule ya upili ya Nyang’ori Kaunti ya Vihiga ambaye amemwua mlinzi wa shule hiyo leo kwa Jina Willy Mkonambi atafunguliwa mashtaka ya mauaji. Haya nikulingana na idara ya upelelezi ambayo…
Read More