LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

BUZEKI amejiuzulu kama katibu mkuu wa chama cha mashinani (CCM)

BUZEKI amejiuzulu kama katibu mkuu wa chama cha mashinani (CCM)

Mfanyabiashara maarufu eneo la Uasin Gishu Bundotich Zedikiah Kiprotich almarufu kama BUZEKI amejiuzulu kama katibu mkuu wa Chama Cha Mashinani (CCM) kinachoongozwa naye aliyekuwa gavana wa Bomet Isaac Ruto. BUZEKI amesema auamuzi huo umeafikiwa baada…

Read More
Hisia mseto zimeibuka baada ya Rais Kenyatta kutoa ujumbe wake kwa mwenzake wa Uganda Rais Museveni kwenye mtandao

Hisia mseto zimeibuka baada ya Rais Kenyatta kutoa ujumbe wake kwa mwenzake wa Uganda Rais Museveni kwenye mtandao

Wakenya wengi wanazidi kutoa hisia zao mtandaoni kuhusu ni kwa nini ujumbe wa heri njema wa Rais Uhuru Kenyatta kwa mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwenye mtandao rasmi wa ikulu ya Rais umefutwa. Kwenye…

Read More
Familia inaomboleza kifo cha mmoja wao

Familia inaomboleza kifo cha mmoja wao

Familia moja kutoka kijiji cha Bugina Kaunti ya Vihiga, inaomboleza kifo Cha mmoja wao, Elfas Nengo Indangasi, baada ya kukatwa na kundi la vijana linaloaminika kuwasumbua wanakijiji hao.  Kulingana na Caith Desire, mmoja wa familia…

Read More
NIDHAMU KWA WATOTO

NIDHAMU KWA WATOTO

Ipo haja kwa wazazi kuwa karibu na wanao kwa kuhakikisha wana nidhamu  na maadili mema ili wasije wakakatisha ndoto yao ya maisha kwa kujihusisha kwenye visa potovu. Akizungumza huko Shibuli naibu wa chifu wa eneo…

Read More
HAKUNA KAZI KWA WAHUDUMU WA AFYA IFIKAPO WIKI KESHO OPARANYA ASEMA

HAKUNA KAZI KWA WAHUDUMU WA AFYA IFIKAPO WIKI KESHO OPARANYA ASEMA

Kwa mara nyingine gavana wa kaunti ya Kakamega ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la gavana nchini Wycliffe Ambetsa Oparanya ameshikilia kauli yake ya kupiga kalamu wahudumu wa afya ambao bado wanagoma kufikia wiki lijalo…

Read More
Walimu waonywa dhidi ya kuwafukuza wanafunzi shuleni kaunti ya Uasin Gishu

Walimu waonywa dhidi ya kuwafukuza wanafunzi shuleni kaunti ya Uasin Gishu

Katibu mkuu wa elimu Belio Kipsang amekashifu vikali walimu  wanaofukuza wanafunzi shule kwa kukosa kulipa fedha za chakula cha mchana na madawati. Kipsang akizungumza na waandishi wa habari akiwa kwenye shule ya upili ya wasichana…

Read More
kampeni dhidi ya funza eneobunge la butere kakamega

kampeni dhidi ya funza eneobunge la butere kakamega

Zaidi ya familia 2800 eneobunge la Butere zinakabiliwa na tatizo la funza huku walioathirika zaidi wakiwa watoto wenye umri wa kwenda shule Hii ni kauli yake  msimamizi wa shirika lisilo la kiserikali la Food and…

Read More
Waziri Makhanu kuwataka akina mama kutumia nafasi ya fedha za serikali ili kujiendeleza kiuchumi

Waziri Makhanu kuwataka akina mama kutumia nafasi ya fedha za serikali ili kujiendeleza kiuchumi

Waziri wa biashara katika serikali ya kaunti ya Kakamega Robert Makhanu amewataka akina mama kutumia nafasi ya fedha za serikali kujiendeleza kiuchumi  Akiwahutubia wanachama wa makundi ya akina mama eneo la Butere, Makhanu amesema serikali…

Read More
Muchungaji amebomoa kanisa kaunti ya Nandi

Muchungaji amebomoa kanisa kaunti ya Nandi

Viongozi  wa kanisa la Landmark linalopatikana katika kijiji cha Chepchori katika wadi ya Sang’alo-Keplonik eneo bunge la Mosop kaunti ya Nandi, wameachwa katika hali ya mshangao baada ya mchungaji wao kubomoa na kung’oa milango na…

Read More
Familia  moja Eldoret kaunti ya Uasin Gishu inaomaba msaada baada ya mama kujifungua  watoto watatu

Familia moja Eldoret kaunti ya Uasin Gishu inaomaba msaada baada ya mama kujifungua watoto watatu

Familia moja kutoka kijiji cha Block Ten mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu inaomba msaada baada ya kubarikiwa na watoto watatu. Kulingana na Mohammed Mulati ambaye anajulikana kama mustafa amekiri kuwa amekuwa na changamoto ya…

Read More