Wanabodaboda wa eneo la Butali kata ya Matioli kaunti ndogo ya Malava kaunti ya Kakamega wameshauriwa kuungana pamoja katika vikundi ili waweze kusaidiana na kupata pia misaada kutoka kwa wafadhili mbali mbali

 Benson Ngaira ambaye ni  mwenyekiti wa wanabodaboda wa Township Stage amewashauri wenzake huku akiwataka kutilia maanani ushirikiano na kusaidiana ili waweze kuendelea kwa pamoja

Benson vilevile amezungumzia mojawapo ya changamoto kuu zinazowakumba kama wateja wao kurudisha pesa wanazotumiwa kwa simu kama nauli na kuwasihi waendeshaji wa pikipiki kuwa makini na abiria wao na pia wakati wapo barabarani

By Mary Owano

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE