Mwenyekiti wa muungano wa wachungaji chini ya mwavuli wa Kakamega mashinani Pastors Fellowship askofu Zablon Mukoshi amewataka walimu wakuu wa shule kuwapa nafasi wanafunzi kukaa shuleni bila kuwapindua siku ya kwanza kwa sababu ya karo

Askofu Mukoshi amesema janga la corona limewaathiri wazazi pakubwa na ni vyema wapewe muda

Askofu Mukoshi alikuwa akiongea eneo la Emusala Butsotso Mashariki kwenye hafla ya kuwatoa vijana jandoni ambapo amewataka wazazi kutumia fursa hiyo kuwafunza vijana maadili ya ki Mungu

By Richard Milimu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE