Wazazi kutoka wadi ya Marama Magharibi eneo bunge la Butere wakiongozwa na Edwin Anyanga wanaitaka serikali ya kaunti kuongeza idadi ya shule za chekechea na kuona kwamba zinakengwa kuwaepushia watoto mwendo mrefu ambao huweka maisha yao hatarini

Akiongea katika shule ya msingi ya Ituti kwenye hafla ya kufuzu Kwa watoto wa chekechea Anyanga amesema Elimu ya chekechea ni msimgi WA mtoto na ni sharti itiliwe mkazo

Anyanga amesema idadi ya madarasa ni ndogo na ameitaka serikali ya kaunti kuongeza fedha

By Lindah Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE