Viongozi wa kidini katika kaunti ya Kakamega chini ya mwavuli wa Kakamega Mashinani Pastors Fellowship wameikashifu serikali kwa malumbano ya kisiasa ambayo yamepelekea kufungwa kwa makanisa kwa kusingizia Corona

Mwenyekiti askofu Zablon Mukoshi amesema inashangaza sehemu zingine kusalia wazi huku makanisa yakifungwa

Askofu Mukoshi amesema kuna siasa katika swala hili hasa kumzuia naibu wa rais William Ruto kutembelea makanisa

Wanasema haiwezekani kufunga makanisa huku sehemu za burudani na shule hasa za kutwa zikiendelea

By Lindah Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE