Usalama  huku umeimarika;  ni usemi  wake chifu wa mtaa wa Ivihiga divisheni ya Ileho eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega akielezea kuhusiana na hali ya usalama maeneo hayo.

Akizungumza na kituo hiki cha 102.2 Lubao fm, chifu Loyce Kwatemba Muchesia anawapongeza wakaazi wake wa Ivihiga kwa kuzingatia amani.

Vilevile anawaomba wazazi kuwapeleka wanao shuleni ili kuepuka kushtakiwa iwapo yeyote atapatikana na mtoto wake nyumbani wakati wa masomo katika msako ambao umeanzishwa maeneo hayo.

Story by sajida Wycliffe

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE