Kiongozi wa ODM Raila Odinga amewataka vyongozi kuwaunganisha wakenya bila kujali misingi yao ya kisiasa
Akiongea leo katika kanisa la PAG mtaa wa Lang’ata jijini Nairobi Raila amesema kuwa ni wakati wa kila kiongozi kuhubiri amani
Amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya vyongozi wanaotilia shaka imani yake
Amesema kuwa serikali imejitolea kuhakikisha kuwa wakenya wote wanufaika na matibabu ya bei nafuu kupitia hazina ya matibabu nchini NHIF
By James Nadwa