Nambari ya vifo vinavyohusiana na janga la corona vimeshuka tangu kuwepo kwa chanjo ya homa ya corona .
Mkurugenzi generali wa WHO  Tedros edros Adhiambo Ghebreyesus  amewataka watengenezaji wa chanjo ya corona kupeana nusu ya dosi zao nchini Covax.  mradi wa kusambaza chanjo hii bila mapendeleo ni njia moja wapo ya kusukuma mpamgo wa kuhakikisha kuwa asilimia thelathini ulimwengu mzima inafaidika na mradi huu ifikiapo mwezi wa decemba tarehe thelathini na moja mwaka huu.


“kusambaza chanjo kwa sasa ni mojawapo ya njia za  kumaliza  mlipuko huu mpya wa janga hili.” aliwaambia maripota jumatatu.”lakini pia ni dhahiri  kuwa katika dharura , nchi ambazo  zina mapato duni  haziwezi kabisa  kusafirisha chanjo hizi  kutoka kwa nchi zilizoendelea.”


Wakati ambapo  idadi ya vifo imeongezeka kwa nchi zilizoendelea,ilipanda pia wiki lililopita africa,marekani na pia magharibi ya  pacific, Tedros alisema.
zaidi ya dosi billioni mbili ya chanjo ya corona zimepeanwa  dunia nzima. zaidi ya chanjo hizi zimepeanwa  kusini mwa marekani na europa  na pia  katika mataifa ya kipato cha kiwango cha wastaani kama vile china, india, na bravil .
By Mary Owano

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE