Waziri mkuu wa elimu Daktari George Magoha ameamrisha vyuo kuhakikisha kuwa wazazi wamelipa karo ya shule ya muhula wa tatu.
Alizungumza haya akiwa chuo kikuu cha Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology(JKUAT) siku ya kukabidhi Multi-Million Agricultaral Labaratory(ALB) ujenzi iliyofadhiliwa na Japanese International Corporation Agency (JICA), Magoha alibainisha kuwa wazazi ambao wanatoka katika familia chenye uwezo walichukua faida ya mapema na kulipa karo ya shule wakati wa janga kubwa la covid 19.
“Nawaomba, kwa niaba ya serikali, wazazi wa Kenya ambao wanakataa kulipa usawa wa muhula wa tatu waweze kulipa bila kuchelewa,’”Magoha alisema.
Aliongeza kuwa.’Walimu wakuu wanapaswa kuangalia mara mbili na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaorudisha nyumbani hawatoki katika familia maskini ama mzazi amepoteza kazi yake. Watu wengi wanaokataa kulipa karo ya shule ni wale ambao wanauwezo wa kulipa karo na ni lazima wailipe.”
Waziri mkuu wa elimu George Magoha alitangaza kuwa mchakato wa uteuzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza inaendelea na itamalizika baada ya wiki mbili baada ya idadi ya millioni moja ya wanafunzi watapata uwekaji katika vyuo vya sekondari kwa kaunti.Serikali imetoa bilioni tisa nukta tatu kwa vyuo vyote vya kaunti.
BY WINNIE AKINYI