Habari za hivi punde tarehe 8/6/2021 imeibua hisia kubwa nchini baada ya kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka ambapo anapanga njama ya kujiunga na chama cha naibu wa rais William Ruto kutokana na ujumbe wa gazeti la Taifa Leo huku akipewa masharti makali na wandani wa naibu rais Wiliam Ruto iwapo atajiunga na chama hicho cha Tangatanga.
Wamemwitaji Kalonzo kuupima mswada wa BBI ikiwemo kinara wa ANC Musalia Mudavadi ,kinara wa KANU Gideon Moi na Ford Kenya Moses Wetangula waliokuwa wakiupigia kura mswada huo.
By Brian Kinyanji