Shule zinapoendelea kupata na kusherkea matokeo ya wanafunzi wa darasa la nane,shule ya kiserekali Lusala Primary inayoongozwa na Absolom Keya akiwa Mwalimu mkuu na naibu wake Mourice Okoth, ni mingoni mwa shule ambazo zinajivunia matokeo ya mwaka wa 2020. shule hiyo iliyoko eneo la vihiga county, sabatia west ilizua mean ya 276 .97 kwenye mtihani uliofanywa na idadi ya wanafunzi 32.

Akizungumza na Lubao fm Mwalimu mkuu  wa shule hiyo bwana absolom Keya anasema kuwa matokeo hayo ni ya juu sana ikilinganishwa na jinsi wanafunzi walivyokuwa wakifanya hapo awali.

Mtoto wa kwanza  wa shule hiyo ame pata alama 384,wapili akipata alama 380 na wengi wa wanafunzi hao wakipata alama 300, 12  wakipata alama zaidi ya 300, 21 wakipata zaidi ya alama 250 jinsi anavyoelezea Mwalimu mkuu.

Mwalimu mkuu huyo amewaomba wanafunzi kukaa nyumbani na kujieka vyema wakingonjea wakati wa kujiunga na shule za sekondari watakazoitwa.

Ameongezea kuwashauri wazazi kukaa na watoto wao vyema kwa muda mwingi watakao kua nao hadi wakati watakaojiunga na shule za upili.

Bwana keya amesema kuwa bado wana mpango mzuri na Lusala primary na kaunti mzima ili kuwa shule bora na competitive kenye nchi mzima huku akiimiza wanafunzi kujipa moyo kwamaba watapata shule za upili na wazazi waweze kuandaa karo ya shule kw wanafunzi hao na wale wa madarasa mengine wamehimizwa kutia bidii katika masomo yao akitumia msemo huu (cha mwenzako kikinyolewa chako kitie maji)

By Austin Shambetsa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE