Ni furaha isiyokuwa na kifani kwa familia ya mama asiyejiweza Netty Nyanga Mukongo kutoka kijiji cha Bulupi lokesheni ndogo ya Shikutse wadi ya Kabras Magharibi eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega baaada ya kilio chake kupitia kituo hiki kusikika kwa gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya
Netty alilalamikia kukosa mahala pa kuishi vyema na jamii yake kwani hakuwa na nyumba nzuri ila kilio hicho kimejibiwa na kujengewa nyumba na serikali ya kaunti ya Kakamega chini ya gavana Oparanya
By Ernest Luvisia