Baadhi ya wanasiasa wanaomuunga mkono naiburais eneobunge la BUTERE wamejitokeza na kumtetea vikali huku wakipinga madai ya ufisadi dhidi yake
Wakiongozwa na Charles Omusula Etemesi wanasiasa hao wamepuuzilia mbali madai hayo wakiyataja kama yasiyo na msingi wowote kisiasa
Mwanasaiasa huyo wa chama Cha UDA ameridhia mipango ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu ujao akisema kuwa wana imani ya kuunda serikali ijayo
Etemesi amesikitikia utovu wa usalama wadi ya Marama North eneobunge la BUTERE akimtaka kiongozi wa Sasa kushugulikia swala hilo kwa daharura
By James Nadwa