Kuna haja ya ushirikiano wa karibu kati ya vitengo mbali mbali ili kuimarisha juhudi za kupata suluhu ya kupambana na janga la korona. Ni usemi wake meneja mkuu wa benki ya Equity, James Mwangi alipokabidhi  vifaa  za kujikinga dhidi ya ugonjwa wa corona kwa hospitali ya kimisheni ya Mtakatifu Elizabeti Mukumu. Mwangi aliongeza kua kampuni ya Equity itaendelea kutoa msaada wa vifaa hivyo kwa muda wa miezi kumi na nane zaidi.

The best way to fight covid 19 is collaboration without collaboration we cannot fight this pandemic. Through collaboration we have been able to train manufactures in Kenya so as to produce good quality of PPEs and affordable to all Kenyans. Through this collaboration we will continue to supply PPEs to mission hospitals so as to protect the doctors and also those affect with the corona virus for the next 18 month. said Mr Mwangi

Akipongeza kampuni ya Equity kwa msaada huo askofu wa kanisa katoliki jimbo la Kakamega Joseph Obanyi Sagwe alisema kua ni kupitia tu ushikiano kati ya serikali na mashirika ya kibinafsi ndipo suluhu la kudumu litapitikana.

I thank the Equity bank fraternity led by the CEO Mr Mwangi for thinking about the mission Hospitals and the Kenyans at large. Without the collaboration we will not be able to fight covid 19 alone. Through collaboration between government sectors and private sectors we build one nation and fight poverty. said bishop Obanyi

Akipokea vyombo hivyo msimamizi wa hospitali ya kimisheni ya mtakatifu Elizabth   Mukumu Mtawa  Agnes Makhulo alipongeza juhudi za kampuni ya Equity na kusema vifaa hivyo vitahimarisha utendajikazi wa wahudumu katika hospitali hiyo.

Our doctors have been at risk because they did not have any PPEs to protect them from contracting the virus but still they have been still taking care of the patients. I thank the Equity bank fraternity for thinking about us and donating the PPEs thank you and God bless you. Elaborated Sr Agnes

By Wycliffe Andabwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE