Meneja wa benki ya Equity James Mwangi amesema kua licha ya makali ya korona ambayao imesababisha wakenya zaidi ya milioni tano kukosa ajira, shirika lao litazidi kujikakamua kutoa huduma kuwezesha nchi kuimarika kiuchumi. Mwangi aliyasema haya alipokabidhi vifaa vya kujikijinga dhidi ya korona kwa hospitali ya kimisheni ya Mukumu.

Mwangi akisifia ujuzi wake katika biashara alisema kua wafanyibiashara wengi ambao walichukua mkopo katika benki hio wamekosa namna ya kulipa kwa kua biashara zilifungwa kwa ajili ya korona. Aliongezea kua kutokana na uzoefu wa Equity kufanya biashara kwa muda mrefu wameweza kujikimu kibiashara na watazidi kusaidia biashara ndogo ndogo.

By Wycliffe Andabwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE