Mwekaazina wa Chama Cha Jubilee eneobunge la Mumias Mashariki Gabriel Omusebe amejiunga na vyongozi haswa wabunge wanaoshinikiza mageuzi kwenye mswada wa BBI

Omusebe amesisitiza msimamo wa naiburais na mrengo wa Tangatanga kuwa mswada huo haupaswi kupitishwa jinsi ulivyo

Kuhusu swala la kumwondoa seneta wa Kakamega kwenye wadhifa wa naibu wa waliyo wachache  kwenye seneti Omusebe amesuta uamuzi huo akikitaja Chama Cha ODM kama chanzo Cha masaibu yake Malala

Kiongozi huyo anaeegemea mrengo wa Naiburais amesisitiza kuwa Chama Cha UDA bado kipo imara na kukitaja kama mojawapo wa vyama vyenye sura ya kitaifa

Haya yanajiri licha ya chama hicho kupoteza chaguzi ndogo 6 Kati ya 7 kilichoshiriki za hivi punde ukiwemo ule wa Kabuchai na Matungu 

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE