serikali utapitishwa na bunge.Muswada wa mifugo 2021 ambao umesimamiwa na mkuu wa wengi Amos Kimunya ina vifungu kadhaa na athari kubwa kwa wafugaji.
Itakuwa hatia kufuga nyuki kwa ajili ya biashara isipokuwa ule muswada ulioungwa mkono na Inaleta kanuni inaleta kanuni kali juu ya mazoezi ya ufugaji wa maua haswa mkulima anayetunza nyuki eneo na aina ya mzinga.Mswada ukipitishwa wafugaji wa nyuki watapaswa kujisajili na kuchukua leseni kutoka kwa serikali ya kaunti.
Serikali imeagiza wakulima aina ya mizinga na chapa watakayoitumia.Shirika la ukulima itaweka sheria kwa shamba litakalotumika kama apiari.
Itakuwa ni hatia kwa wakulima kufuga nyuki kwa ajili ya biashara bila kuwa na cheti cha kujisajili ambacho kitafanywa upya kila mwaka.
Wafugaji wa nyuki watatakiwa kusajili shamba la apiari.”Hakuna yeyote atakaye fuga nyuki kwa shamba ambalo halijasajiliwa kama apiari,”muswada unasema.Wakulima watakaovunja sheria wataoa fiani ya 500,000 au kifungo kisichozidi mwaka mmoja au zote pamoja.
Muswada unaagiza kuwa mizinga ambayo wakulima watazitumia,zitaekwa chapa ambayo imesajiliwa.Serikali imependekeza mizinga iwe umbali wa mita 30 na mali.
Muswada unampa mkuu mtendaji wa ukulima nguvu ya kutoa mamlaka kwa majengo salama kwa ufugaji wa nyuki ikiwa wana hakika kuwa mizinga ya nyuki ni hatari kwa umma.
By marseline musweda