Akina mama wa chama cha ANC Eneo la Lurambi Kaunti Ya Kakamega wanaitaka Serikali kuweka Mikakati ya kuwafikia watu wanaoishi na ulemavu kuwakwamua kwenye matatizo mashinani


Wakiongozwa na mwenyekiti Ruth Ombayo wakati walipomtembelea mwakilishi wa walemavu katika chama cha ANC wadi ya Mahiakalo Wamesikitikia Hali mbaya ya maisha wanayoishi walemavu


Wamesema kama chama cha ANC wataendelea kumpigia debe Musalia Mudavadi kuwa Rais kama njia ya kuleta usawa miongoni mwa wakenya
Bi Violet Khavai ambaye alitembelewa na akina mama hawa alitoa shukrani na kusema anaishi maisha magumu pamoja na mumewe ambaye pia ni mlemavu
By Lindah Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE