LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

Wanachama wa ODM kuhimizwa kueneza siasa ya Amani

Wanachama wa ODM wamehimizwa na mbunge wa eneo la Soy Caleb Kositany kueneza siasa ya amani.

Akizungumza baada ya kuzindua mipango kabambe ya kanisa ya AİC mjini Eldoret amesisitiza kuwa wanachama hao wanafaa kufanya ushauri wa amani  baada ya kudhani wamesalitiwa na chama cha Jubilee.

Ameongeza kuwa wanachama hao wanaweza pewa ushauri na naibu rais William Ruto haswa suala la Usaliti kwani anajuzi ambayo itawasaidia bali si kisaisa lakini pia itakuwa njia mbadala ya kuanganisha wa wakenya pamoja.

Story by Sharon Lukorito

Charles Oduor

Read Previous

Cristiano Ronaldo aandikisha Historia kwa muchuano wake wa 600 wa ligi

Read Next

Vijana Eneobungbie Mumias Maghara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *